Sunday, March 17, 2013

WANANCHI WILAYANI RUNGWE WASIKITISHWA NA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012

Wadau mbalimbali wilayani Rungwe wamesikitishwa na Matokeo mabaya ya kidato cha nne 2012,wamedai chanzo cha matokeo mabaya ni  serekali kutolipa  kipaumbele suala la elimu ikiwemo kuto angalia maslai ya walimu,shule kutokuwa na maabara,vitabu vya  kutosha,sababu nyingine ni wanafunzi wenyewe kutokuwa na mwamko katika  suala la elimu na mwisho ni wazazi wengi kutokuwa na ufatiliaji wa maendeleo ya watoto wao.Picha hiyo ni shule ya Sekondari Kisondele iliyoko wilayani Rungwe.

No comments:

Post a Comment