Tuesday, March 19, 2013

HALMASHAULI MPYA YA BUSEKELO KATIKA WILAYA YA RUNGWE


Jengo la utala katika halmashauli mpya ya Busekelo katika wilaya ya Rungwe. Serikali   iliunda halmashauri nyingine ya Busekelo katika kuhakikisha ufanisi wa utendaji kazi katika wilaya hii.  Kwa hiyo sasa wilaya ya Rungwe inaundwa na halmashauli mbili Tukuyu na Busekelo.

No comments:

Post a Comment