Thursday, March 21, 2013

JE, ULIISHA WAHI KUSIKIA NDIZI ZIKICHUMBIWA?


Kuchumbiwa kwa ndizi kuna maana  ya wafanyabiashara au wanunuzi wa ndizi wanapo kwenda kwa wakulima na kununua ndizi ziki bado changa au bado azijakomaa shambani kwa bei ya kati ya shilingi elfu moja na elfu mbili kwa mkungu na kuziacha shambani kwa mkulima hadi zikomae na kisha kuja kukatwana wafanyabiashara.Utaratibu huu wakulima wengi wanaulalamikia kwa sababu unawanyonya kwa kiasi kikubwa sana wakulima wa wilayani Rungwe.

No comments:

Post a Comment