Tuesday, March 19, 2013

UJENZI WA DARAJA LA LUTETE WILAYANI RUNGWE

Mafundi wa kampuni ya Araj  wakiendelea na ujenzi wa daraja la Lutete wilayani Rungwe,Daraja ili  linaumuimu mkubwa sana kwa maendeleo ya eneo ili kwani hapo awali wananchi walikuwa wanapata shida sana kipindi ambacho wanataka kusafirisha mazao yao ya chai,ndizi na maparachichi kwenda  sokoni .Kwa mujibu wa wananchi wa eneo hili wanatoa shukruni zao kwa serikali kuwakumbuka kwa  kuwajengea daraja hili ambalo nitakuwa mkombozi wao.

No comments:

Post a Comment