Tuesday, March 19, 2013

CHAI YA RUNGWE YAZIDI KUWA BORA KATIKA SOKO

Chai ilimwayo wilayani Rungwe ni miongoni mwa chai bora nchini Tanzania,na hii ni kutokana na wakulima wa wilaya hii kufutilia maelekezo wanayopewa na maafisa ugani pamoja na asasi binafsi zilizojitolea kuendeleza kilimo cha chai wilayani Rungwe.


No comments:

Post a Comment